Tunu za Baraza ni pamoja na kuzingatia kanuni ya maadili ya taaluma, uaminifu, weledi, uwazi na kuwajibika, kujitolea kuhudumia jamii, kufanya kazi katika timu, kujitolea, kuhifadhi mazingira, ustawi wa wanyama, kuepuka maslahi binafsi, usawa, haki, kujiendeleza na kuhimiza ushirikiano