UTAMBUZI WA TAASISI ZA MAFUNZO YA MIFUGO

Kifungu cha 5 (2) (d), (e) na (f) (iii) cha Sheria ya Veterinari SURA 319, kinalipa Baraza la Veterinari mamlaka ya kutambua vyuo vinavyotoa mafunzo ya afya ya wanyama, kwa hiyo taasisi au chuo chochote cha mafunzo kinachotaka kutoa mafunzo ya afya ya wanyama lazima kitambuliwe na Baraza.

Hadi sasa Baraza limetambua taasisi/vyuo (21) ambavyo vinajumuisha taasisi kumi (10) za Serikali na taasisi kumi na moja (11) binafsi zinazotoa mafunzo ya taaluma ya afya ya wanyama katika ngazi ya shahada, stashahada na astashahada/cheti kama ilivyoorodheshwa hapa chini.

A: Taasisi za Umma

Jina la Taasisi/Chuo

Jina la Kozi

Chuo cha Tiba ya Mifugo na Sayansi ya Tiba (SUA)

Shahada ya Tiba ya Wanyama

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama ya Kitropiki

Stashahada ya Teknolojia ya Maabara

LITA Tengeru

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

LITA Morogoro

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

LITA Mpwapwa

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

LITA Buhuri

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

LITA Temeke

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Stashahada ya Teknolojia ya Maabara ya Mifugo

LITA Madaba

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

LITA Mabuki

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

LITA Kikulula

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

NAIC-Usariver

Cheti cha Uhimilishaji

B: Taasisi Binafsi

Jina la Taasisi/Chuo

Jina la Kozi

Kituo cha Mafunzo ya Ujuzi Mifugokilimo cha Visele, (Mpwapwa)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Chuo cha Usimamizi wa Maendeleo Hagafilo, (Njombe)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Kituo cha Mafunzo ya Kilimo na Mifugo Kilacha, (Kilimanjaro)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Taasisi ya Kilimo ya Dabaga, (Kilolo)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Taasisi ya Kilimo ya Igabiro, (Muleba)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Chuo cha KARUCO, (Karagwe)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Taasisi ya Utafiti na Maendeleo ya Kazi Tanzania, TRACDI (Dodoma)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Chuo cha Ufundi Kilimo Borigaram, (Kigamboni)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Chuo cha Kilimo cha Kaole Wazazi, (Bagamoyo)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Chuo cha Kilimo na Maliasili, CANRE (Dar es Salaam)

Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Astashahada ya Afya na Uzalishaji wa Wanyama

Chuo cha Sayansi na Teknolojia Chato, (Chato)